Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Hata hao walioshikamana na dini ni wanafiq tu,akikwambia hivyo eti mpaka uniowe muulize bikra anayo?Kama kweli alikuwa ameshikamana na Mungu wake then hiyo bikra aliipeleka wapi!

Wa hivi wanakuwaga na vibwana vyao uchwara vinavyowagonga ila wewe ukiingia na gear ya kuowa wanajifanya kukubania ili usimuone malaya sana,dawa na wewe ingia kihuni huni wazo la kuowa lifanye la baadae.
umepanic mkuu
 
Ni kweli ni vigumu lakini WAPO.

Yesu alisema acheni Ngano na Magugu vikuwe pamoja...means hata penye magugu mengi pia pana Ngano.

Hata kama watu wengi sana wanahalalisha hili suala lakini ni wazi kabisa kuwa wapo wasichana WALIOJITUNZA hata kama ni wachache.

Pia wapo wasichana wanaoogopa kufanya uzinzi kwa kumuhofia Mungu wala si kwa kuogopa kutoolewa.

Kufanya kwetu kabla isijustify kuwa ni wote.
Sasa kumpata huyo aliekuwa kwenye hizo 10% ndo balaa lipo hapoo
 
Alafu utakuta madada wa ivyo bikra imetolewa zamani..basi tu kutesana..ukiona una mdada wa ivyo na hana bikra hakuna mapenzi hapo
Kwa hiyo na ukala muwa na maganda yake!
 
Sina uhakika kama nitaweza kuelezea kwa namna ya kukuridhisha...ila ni utando unakuwepo katika uke kuelekea katika njia nzima ya uzazi...

utando huu ni wa nyama laini iliyozuia njia hiyo.

Huo ndio uelewa wangu kwa kifupi.


Wabillah Tawfiq,
Kwa uelewa wako bikra maana yake nini?
 
Sina uhakika kama nitaweza kuelezea kwa namna ya kukuridhisha...ila ni utando unakuwepo katika uke kuelekea katika njia nzima ya uzazi...

utando huu ni wa nyama laini iliyozuia njia hiyo.

Huo ndio uelewa wangu kwa kifupi.


Wabillah Tawfiq,
Bikra ni mwanamke ambae hajawahi kuingiliwa kingono. Hicho ulichotaja wewe ni ushahidi tu wa kuonyesha kwamba mtu hajaingiliwa ambao unaweza kuwepo au usiwepo. Utasikia eti ukiendesha baiskeli bikra inatoka khaa kwamba mtu anapokuwa naendesha baiskeli anakuwa anatiana nayo? Kifupi bikra is not something tangible
 
Asante kwa Ilmu.
Bikra ni mwanamke ambae hajawahi kuingiliwa kingono. Hicho ulichotaja wewe ni ushahidi tu wa kuonyesha kwamba mtu hajaingiliwa ambao unaweza kuwepo au usiwepo. Utasikia eti ukiendesha baiskeli bikra inatoka khaa kwamba mtu anapokuwa naendesha baiskeli anakuwa anatiana nayo? Kifupi bikra is not something tangible
 
Ni kweli unachosema. Kuna mmoja nilimla mara ya kwanza. Mara ya pili akasema mchungaji kasema hadi ndoa, nikamwambia mpelekee hiyo K. Na mawasiliano nikakata..
Kumbe alikuwa an bwana anamsugua mm nikiwa mbali kikazi
aiseee
 
Kweli ilipata kunitokea. Nilimtoa mtu, tukala tukashiba halafu nikamrudisha kwake. Hakunipenda tena. Alinibadilikia.
Uliweka uzembe.
Kuna dem chuon wik 1 baada ya mahusiano nkamwambia next weekend tuwepo sehuliiiivu.
Akaniangalia na kuniambia lakini naogopa utaniumiza....ni muda sijafanya mapenzi........kudadeki nikahidharau kwann nimechelewa angali dem anajileta mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balaa sanaa..! wengne anakwambia mpka ndoa umuone mshika dini sanaa but huko pembeni kuna mwana Anamlaaaaa balaaa...yanii anamlaa kweli
Nimewalaa mno wa hivyo
makambi, tarawee na mikesha
piga mbupu mbaya kabisa
 
mimi kuna siku nikawa na zoza na guy moja hivi(mrembo) sasa alichoniambia kwamba alishaelewa kam mm nataka nini, so nifuate taratibu za ndoa.
Nilichomjibu sina muda wa kupoteza kuhangaika na ndoa, nikampotezea baada ya siku kama 4 hivi kanipiga mzinga wa 20,000 na mimi wala sikumjibu. Sasa hivi kawa mtumwa wa kuangalia status zangu kwenye whatsp na mm sina mpango nae
 
Nilikua namla mlokole mmoja mchumba wa mwinjilisti ndani mwaka mmoja, na alikua hajawahi liwa na huyo mchumbake hadi ndoa,
Nikawa namtahadharisha kuna changamoto zake maana waweza enda kuta hawezi kula mzigo vizuri, au akawa na maumbile madogo au makubwa ambayo hujayazoea ukajapata tabu,
Akajaribu kutafuta njiani ya kumuonja lkn anamkwepa,

Baada ya ndoa ananiambia awezi kitu na ana kipisi nusu ya yakwangu (sina hakika km alkua mkweli au sababu alkua akinipenda na hakutaka tuachane)
Nkaja mla tena mara moja, wakaja hamia mkoani hadi leo tunawasiliana ila bado analalamika haridhishwi, na aliniambia alishawahi kuchepuka tena huko aliko,

Hayo ni madhara mengine ya kuoa au kuolewa bila kutest mitambo.
 
Back
Top Bottom