A man from Island
JF-Expert Member
- Aug 13, 2020
- 606
- 1,392
huu uhasishaji ni wa kipumbavu. Wew kama unaaman ni wew na hiyo aman unayoitaka itafte mwenyewe, wengine tushazoea tunajua tunaish ni watumwa kwenye nchi yetu wenyewe, acha tuvumilie, huwez kuwa na aman wakat uko chin ya manyanyaso!Amani ndio tunu yetu tuilinde kwa wivu mkubwa