Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

Hivi mnajua mtoa mada ni mgonjwa sn yaan hapa Niko hospital na hali mbaya niombee wapendwa.
 
Hili la wanaume kuchepuka unaweza kuliita ni janga la taifa. Hasa jiji la Dar. Na mbaya zaidi siku hizi baada ya kuingia utandawazi wanawake nao wanaona dawa ya mume mchepukaji ni yeye naye kuchepuka. Kama hawa dada wanaojiita wasanii siku hizi umalaya ndiyo umekuwa sifa kubwa. Hakika ukija ugonjwa mpya wa zinaa sasa hivi ambao hauna dawa kizazi kitaisha.
 
Mtu wa hivo yuko hivo in nature "insecure" yani hajiamini na ana moyo mdogo sana kiasi kwamba roho inaweza kumtoka kwa maumivu akigundua umelala na mwanaume mwingine, kuzuia hilo ndo anatumia vitisho na sio vitisho tu anaweza kweli akafanya hivo (Mfano yule jamaa saidi aliyejiua yeye na mkewe,Kwa point kwamba tukose wote)

Ukimsoma mapema mtu wa haina hii kabla hamjafunga ndoa ni bora kumwepuka mapema sanaa,,ila kama umeshafunga nae ndoa aisee Bora uwe mpole, we msikilize yeye hata hajali hao watoto,anaweza kukuua wewe, akajiua na yeye alafu watoto watajua wenyewe uku nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.
Umemwambia?!
Isiwe unalalama humu tu wakati mhusika hana habari ya mambo unayotaka
 
Kwenye mada nzima, vitu ulivyovibainisha kama majukumu sijaona kama ni majukumu na hivyo vitu huishia kwenye uchumba mara nyingi. Kwenye ndoa kuna majukumu ya kuendeleza familia na kuleta maendeleo sio kukaakaa kama teenagers eti sijui kukiss, kuhugh navinginevyo. Chakushangaza kila jinsi inalalamika wanataka hivyo vitu huku jamii yetu ikiangamia kwakuwa tumeacha kusimamia familia tumebaki kwenye maisha ya uteenager wakati tunamajukumu ya msingi yaani familia. Hauli kiss wala hununui kitu kwa makiss na hugh, wanawake mkue. Kesho pesa ikiisha hiyo kiss utaiona kama anakusonya, tujikite kwenye utu uzima.
 
Haiwezi kuwa rahisi hivyo lakn tunapenda kusifiwa na waume zetu zaid ya yeyote.
Tutunze familia, ukishasifiwa ndio unakuwaje yaani[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani ni mtu mzima bado hujui kujitengenezea furaha yako mwenyewe. Maana mwisho wa siku mme anaweza wai fariki, ndio utakaa uolewe kila siku ili usifiwe na mwanaume ndio uridhike. Kama ndoa ukiingia na mindset hii, hakika zitakufa nyingi mno. Tamthilia ni maisha ya maigizo, wewe upo nchi ya Tz, a 3rd world country hata milo mitatu kwa wengi ni shida. Live your life!
 
Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.
Ndio maana ikaitwa tamthilia, mapenzi ya mwanzo wakati mmeshaachana na mahusiano na sasa mpo ndoani. Hii ni hatari, ndio maana watanzania wengi tutakufa maskini[emoji1787][emoji1787]
 
Kumtishia Mwanamke kumuua ni ishara ya kutojiamini kwa huyo Mwanamume. Kama mwanaume kakamilika mkewe hawezi kua hata na mawazo ya kuchepuka na kama akiwanayo basi mke ni malaya aliejificha.
Kwamiaka hii blame imekuwa ikiwekwa juu ya mwanaume, tafadhari muiondoe. Hakuna mkamilifu, tamaa za kucheat ni zako halafu leo umpe lawama mtu wa tatu. Mwanamke ni mtu na anaakili zake, pia kuchepuka ni chaguo. Zakwambia changanya na zako.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…