Judithkaunda
Member
- Aug 21, 2022
- 90
- 231
- Thread starter
- #41
Nionyeshe palipoandikwa mchepuko na kudhalau wake zenu, utoke huko umeshaenjoy huna muda na mm sio fea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nionyeshe palipoandikwa mchepuko na kudhalau wake zenu, utoke huko umeshaenjoy huna muda na mm sio fea.
Basi mama usilalame sana njoo tuyajenge PM, muda na weewe ninao tuonane PMNionyeshe palipoandikwa mchepuko na kudhalau wake zenu, utoke huko umeshaenjoy huna muda na mm sio fea.
Kabisa kaka!Mwanaume anayekutishia kukuua Kwa sababu yoyote Ile anakosa sifa ya kuwa Mume.
Over!
Tunaelimishana tu ndugu kuachana sio jambo dogo, tumetokambali tuna watt now.
Hili la wanaume kuchepuka unaweza kuliita ni janga la taifa. Hasa jiji la Dar. Na mbaya zaidi siku hizi baada ya kuingia utandawazi wanawake nao wanaona dawa ya mume mchepukaji ni yeye naye kuchepuka. Kama hawa dada wanaojiita wasanii siku hizi umalaya ndiyo umekuwa sifa kubwa. Hakika ukija ugonjwa mpya wa zinaa sasa hivi ambao hauna dawa kizazi kitaisha.Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume hafanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi. Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.
Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho. Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.
Pole sana mtoa madaHivi mnajua mtoa mada ni mgonjwa sn yaan hapa Niko hospital na hali mbaya niombee wapendwa.
Umemwambia?!Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.
Kwenye mada nzima, vitu ulivyovibainisha kama majukumu sijaona kama ni majukumu na hivyo vitu huishia kwenye uchumba mara nyingi. Kwenye ndoa kuna majukumu ya kuendeleza familia na kuleta maendeleo sio kukaakaa kama teenagers eti sijui kukiss, kuhugh navinginevyo. Chakushangaza kila jinsi inalalamika wanataka hivyo vitu huku jamii yetu ikiangamia kwakuwa tumeacha kusimamia familia tumebaki kwenye maisha ya uteenager wakati tunamajukumu ya msingi yaani familia. Hauli kiss wala hununui kitu kwa makiss na hugh, wanawake mkue. Kesho pesa ikiisha hiyo kiss utaiona kama anakusonya, tujikite kwenye utu uzima.Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume hafanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi. Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.
Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho. Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.
Tutunze familia, ukishasifiwa ndio unakuwaje yaani[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani ni mtu mzima bado hujui kujitengenezea furaha yako mwenyewe. Maana mwisho wa siku mme anaweza wai fariki, ndio utakaa uolewe kila siku ili usifiwe na mwanaume ndio uridhike. Kama ndoa ukiingia na mindset hii, hakika zitakufa nyingi mno. Tamthilia ni maisha ya maigizo, wewe upo nchi ya Tz, a 3rd world country hata milo mitatu kwa wengi ni shida. Live your life!Haiwezi kuwa rahisi hivyo lakn tunapenda kusifiwa na waume zetu zaid ya yeyote.
Ndio maana ikaitwa tamthilia, mapenzi ya mwanzo wakati mmeshaachana na mahusiano na sasa mpo ndoani. Hii ni hatari, ndio maana watanzania wengi tutakufa maskini[emoji1787][emoji1787]Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.
Kwamiaka hii blame imekuwa ikiwekwa juu ya mwanaume, tafadhari muiondoe. Hakuna mkamilifu, tamaa za kucheat ni zako halafu leo umpe lawama mtu wa tatu. Mwanamke ni mtu na anaakili zake, pia kuchepuka ni chaguo. Zakwambia changanya na zako.Kumtishia Mwanamke kumuua ni ishara ya kutojiamini kwa huyo Mwanamume. Kama mwanaume kakamilika mkewe hawezi kua hata na mawazo ya kuchepuka na kama akiwanayo basi mke ni malaya aliejificha.
Kuwa jasiri basi.Zuleykha
nifundisheKuwa jasiri basi.