Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

Yan wanawake mnapendaga vitu vya kijinga kinoma..sa kiss na hug ndio nini???kama unakula na kuvaa na unakazwa inatosha bhn Wanaume tuna mambo mengi
Eti vyakijinga yaan kaka pole endelea hvyo kujifanya unamambo mengi utalizwa
 
Kuna
Kuna wanaume mnamambo ya kizamani ndio nn kuishi na mkeo km kaka na dada, aliekwambia kiss inapoteza muda nani? Hata ule muda wa tendo tu inatosha ni bora nyie wanaume unaweza kufanya tendo bla maandalizi yoyote lakn kwetu nitofauti ni sawa na mateso, Ili tufurahie tunahitaji maandalizi kwanza.
 
Unautaka kweli usasa🤣🤣🤣, hivi unajua usasa ulivyo na maovu na matendo yakiovyo. Yaani nyie hamna msimamo, kesho mseme mbona hampo jasiri kama mababu zenu keshokutwa mseme muwe wa kisasa. Unajua vijana wa kisasa walivyo na vitabia vya ajabu mpaka wengine kuanza kuwa wanawake. Timiza majukumu yako, nayeye atimize yake mengine ni ulimbukeni.
 
Judithkaunda limekukuta jambo..!!! Umetishiwa na ukatishika
 
Kumtishia Mwanamke kumuua ni ishara ya kutojiamini kwa huyo Mwanamume. Kama mwanaume kakamilika mkewe hawezi kua hata na mawazo ya kuchepuka na kama akiwanayo basi mke ni malaya aliejificha.
Hapo kwenye bold..!!! Ikitokea hivyo, mwanamke huyo anastahili kutishwa?
 
Hapo kwenye bold..!!! Ikitokea hivyo, mwanamke huyo anastahili kutishwa?
Kumtisha Mwanamke maana yake huna option zaidi ya yeye, una weak mindset/mentality (insecurity).

Kama Mwanamke ni malaya hakuna njia bora zaidi ya kumuacha aende zake, na pia wewe kama Mwanaume ni lazima uwe na options nyingi zaidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…