Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Wacha nicheke mie😀
 
Ungekuwa wa kiume ningekwambia piga kende na mmakonde pia uone burudani yao 😂😂

Utaweza wewe
Get rich or die tryn?
Subiri tuweke roho rehani kisha tuwaletee..

Sisi ndio yale MABWEGE MTOZENI..
janja la kutafuta, jinga la kuhonga
Au kama vipi niazime lako nikaonje toto la kimakonde..!! 😹😹😹

Wewe lete deal mezani suala la nitaweza niachie mimi..!!
 
Au kama vipi niazime lako nikaonje toto la kimakonde..!! 😹😹😹

Wewe lete deal mezani suala la nitaweza niachie mimi..!!
Usiwaze, weekend moja uje ulichukue ukamdidimize mtu..

Dili nitakupangilia mwanangu..
Sasa hivi napambania mawasiliano na wale wa south walionunua kende, nataka niuze yangu 1 au kama bei nzuri nisukume kende zote 2.. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…