Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Sijaona ebu nitag Bwashee 😅
Hapa ulisifiwa na mtoto wa kike tajiri wa mbao from iringa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
''Halafu kuna yule anataka mshirikiane kwenye maswali na majibu, hawa mara nyingi wachaga oyaaa weeeh 😹
Utasikia nakufanya nini mamaaa?Unamjibu, unanisugua babaa..!! 🥰
Ulisema unahitaji shingapi ili ujazie mzigo dukani? Ayiiiiiii nyie huyu mimi nachangia misumari kilo kumi na cement mifuko 2 😹😹😹"
 
Hahaha awe tu binti wa kiislamu 😅😅
 
Sio wote ambao hatutoi sauti hatusikii raha
Sio wote wanaotoa sauti wanasikia raha
Dah ila sauti zinamata saana...

Kuna miaka tunakua kua imagine nilimuba dem Yan wao wamelala chumba chao Sisi wanaume tumelala chetu sasa sehem pekee sehem yakumlia ni sebleni...

Alafu Ile nyumba haina dari...

You can imagine, unamuweka binti alafu anatakiwa akae kimya aisikilize tuu, unafika muda anashindwa kukaa kimya anatoa sauti unamziba mdomo awewwwwwew

Ila ujana dahhhh sijui ule ujasiri unapoteleaga wapi..
 
Back
Top Bottom