Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Lamomy ni muelewa,tutaelewana tu halafu na mimi nitarudi hapa kufungua uzi wa kumwagia misifa kede kede.
Screenshot_20260908-182223~2.jpg
 
Binadamu ni watu wabaya sana, Lamomy kashapiga hela zake amefunga oda za maana jana usiku leo hii anatuchuuza sisi wa vibarua tuache kufocus. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚


Anyways naunga mkono hoja paragraph namba moja ya mleta mada, wanaume wa hivyo wapewe yote, na juice baridi baada ya kazi šŸƒšŸ»ā€ā™€ļø
Kama haujishugulishi wakati wa mechi basi usemi wote huu ni ubatili
 
Mambo kwa kiasi and in highly slow motion where kuna mishumaa inawaka joto huleta furaha kuzidi kelele, joto huwapeleka masafa marefu,nyimbo za taratibu ni perfect kwenye tukio na zaidi slow motion maana eneo husika linakua na lubricant kwa sana kwasbab yakutokua kuwa na pupa so ni nzuri zaidi,hila hizo kelele zenu hizo najiuliza mnafanya hivo na mna watoto ndani😨
 
Binadamu ni watu wabaya sana, Lamomy kashapiga hela zake amefunga oda za maana jana usiku leo hii anatuchuuza sisi wa vibarua tuache kufocus. šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚


Anyways naunga mkono hoja paragraph namba moja ya mleta mada, wanaume wa hivyo wapewe yote, na juice baridi baada ya kazi šŸƒšŸ»ā€ā™€ļø
Mate 😹😹😹😹
Yani nimecheka, hamna mi ndo naingia hapa Aggrey nifungue goli.
 
Hivi hizo ngono za mazungumzo mikelele huwa mnafanyia wapi? Mnafamilia kweli?watoto wanakua wapi?mnaishi kwenye jamii gani nyie watu?Uswazi ama? Mitaa ya kishua hakunaga mambo ya kukamiana hivi,mnajilipuaga wapi na hizi conver ni mahotelini nini? Kuna hotel moja nilishukia nilijuta ikabidi nitafute headphone niweke masikioni hebu muwe mnafanya kwa kiasi mnaopiga makelele ya kimahaba, mbona sec ya kimya kimya nzuri sana mambo kwa taratibu jamani
😹😹😹 Hujapata wa kukushika utatoa mwenyewe miguno..!!
 
Back
Top Bottom