Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Kama haujishugulishi wakati wa mechi basi usemi wote huu ni ubatili
 
Mambo kwa kiasi and in highly slow motion where kuna mishumaa inawaka joto huleta furaha kuzidi kelele, joto huwapeleka masafa marefu,nyimbo za taratibu ni perfect kwenye tukio na zaidi slow motion maana eneo husika linakua na lubricant kwa sana kwasbab yakutokua kuwa na pupa so ni nzuri zaidi,hila hizo kelele zenu hizo najiuliza mnafanya hivo na mna watoto ndani😨
 
Mate 😹😹😹😹
Yani nimecheka, hamna mi ndo naingia hapa Aggrey nifungue goli.
 
😹😹😹 Hujapata wa kukushika utatoa mwenyewe miguno..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…