Kiongozi nimetoa ukokotozi wangu kidogo hapo post #19Aisee.
Kwani bia ndogo mills ngapi na kubwa ngapi...ushanikata stimu hapaWazalishaji wa bia wakiona hii comment yako wanacheka kweli kimya kimya!
Kimsingi, bia ndogo unapunjwa!
Na wao wazalishaji wanalipa kodi kiasi gani per mls kwa hizo chupa kubwa na ndogo? Mimi naongelea faida kwa mzalishaji!Hapana ndugu watu tunaishi kwa mahesabu nipo sahihi kabisa. Ngoja nikupe ukokotozi wangu kidogo.
Bia ninayokunywa ndogo ni sh 1500 ambapo nikinywa 4 ni sawa na mililita 1500 napata kwa bei ya sh 6000.
Ikiwa nikinywa kubwa 3 ambazo nazo ni sawa na ujazo wa mililita 1500 ni sawa na kulipa sh 7500. Sasa hapo huoni kwamba mie nabaki na salio la 1500 kwa kula bia ndogo?
ShikamooKama hujui kampuni zote za beer zimehamia kutengeneza bia ndogo...nyie mmezoea pombe za kupima kwny bakuli endeleeni tu
Kuna siku tulipiga hii hesabu na FisadiKuu ikaonekana ni kweli bia ndogo ni nafuu ila ni kwazile sehemu wanazouza 1500/- kuna Bar nyingine ndogo wanauza 2000/-Hapana ndugu watu tunaishi kwa mahesabu nipo sahihi kabisa. Ngoja nikupe ukokotozi wangu kidogo.
Bia ninayokunywa ndogo ni sh 1500 ambapo nikinywa 4 ni sawa na mililita 1500 napata kwa bei ya sh 6000.
Ikiwa nikinywa kubwa 3 ambazo nazo ni sawa na ujazo wa mililita 1500 ni sawa na kulipa sh 7500. Sasa hapo huoni kwamba mie nabaki na salio la 1500 kwa kula bia ndogo?
Upo sahihi ikizidi 1500 unakua umeumia, nikienda bar mpya lazima niulize kwanza bei ikiwa iko juu bora nile kubwaKuna siku tulipiga hii hesabu na FisadiKuu ikaonekana ni kweli bia ndogo ni nafuu ila ni kwazile sehemu wanazouza 1500/- kuna Bar nyingine ndogo wanauza 2000/-
Tunaweka grisi safari inaendelea taratibu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyuma vimekazaa
Unapoanza kuandika, neno la kwanza uwe unaanza na herufi kubwa.ni "halafu" na sio "harafu"...
kila mtu na mnyonge wake!
Tatizo hujajua ushamlowesha kachupi kake. Mademu wa mikoa wanapenda sana wanaume wa dizaini hiyo
Huyu jamaa ndio anawawakilisha wanaume wa Dar unategemea anaweza kupiga bombadia kweli?,[emoji23] sidhan kama chupa kubwa ya castle lager kama anaweza kunyanyua...