Wanaume wa Dar acheni tabia ya kunywa beer ndogo ndogo

Hapana ndugu watu tunaishi kwa mahesabu nipo sahihi kabisa. Ngoja nikupe ukokotozi wangu kidogo.
Bia ninayokunywa ndogo ni sh 1500 ambapo nikinywa 4 ni sawa na mililita 1500 napata kwa bei ya sh 6000.
Ikiwa nikinywa kubwa 3 ambazo nazo ni sawa na ujazo wa mililita 1500 ni sawa na kulipa sh 7500. Sasa hapo huoni kwamba mie nabaki na salio la 1500 kwa kula bia ndogo?
Na wao wazalishaji wanalipa kodi kiasi gani per mls kwa hizo chupa kubwa na ndogo? Mimi naongelea faida kwa mzalishaji!
 
Hapana ndugu watu tunaishi kwa mahesabu nipo sahihi kabisa. Ngoja nikupe ukokotozi wangu kidogo.
Bia ninayokunywa ndogo ni sh 1500 ambapo nikinywa 4 ni sawa na mililita 1500 napata kwa bei ya sh 6000.
Ikiwa nikinywa kubwa 3 ambazo nazo ni sawa na ujazo wa mililita 1500 ni sawa na kulipa sh 7500. Sasa hapo huoni kwamba mie nabaki na salio la 1500 kwa kula bia ndogo?
Kuna siku tulipiga hii hesabu na FisadiKuu ikaonekana ni kweli bia ndogo ni nafuu ila ni kwazile sehemu wanazouza 1500/- kuna Bar nyingine ndogo wanauza 2000/-
 
Kwanza bia ndogo mi huwa natumia kumix na Don nyati ....hivi Hilo swala ndo tuseme serikali imepigwa tatu bila au? Maana viroba vimebadili jina tu na vibebeo
 
Kuna siku tulipiga hii hesabu na FisadiKuu ikaonekana ni kweli bia ndogo ni nafuu ila ni kwazile sehemu wanazouza 1500/- kuna Bar nyingine ndogo wanauza 2000/-
Upo sahihi ikizidi 1500 unakua umeumia, nikienda bar mpya lazima niulize kwanza bei ikiwa iko juu bora nile kubwa
 
Hapa bongo ndo kuna mabia makubwa alafu hovyo tu.Kula beer nɗogo kama kupata raha tu nawala siyo mpaka uwe njwanga
 
Hiyo haina cha Dar wala mkoani sasa hivi ukimkuta mtu anakunywa bia likubwa unashangaa mwendo wa kirikuu tu hapa
 
Hilo nakuunga mkono kuna vibamia vya bia dar huku mkoani havipo mfano castle lager
 
0618d4064ab9d97d336116f1805a8113.jpg

Huyu jamaa ndio anawawakilisha wanaume wa Dar unategemea anaweza kupiga bombadia kweli?,[emoji23] sidhan kama chupa kubwa ya castle lager kama anaweza kunyanyua...
 
Tatizo hujajua ushamlowesha kachupi kake. Mademu wa mikoa wanapenda sana wanaume wa dizaini hiyo
 
Back
Top Bottom