Wanaume wa Dar acheni tabia ya kunywa beer ndogo ndogo

Hahaha haya bwana mkubwa. Ila bado umesahau kuanza kwa herufi kubwa.

Wewe lazima utakuwa shabiki wa Arsenal
Arsenal? bado sijarogwa mkuu.

nipo pale Melwood, uniombee maana ni mshauri mkuu wa yule Jarumani kichaa!
 
Arsenal? bado sijarogwa mkuu.

nipo pale Melwood, uniombee maana ni mshauri mkuu wa yule Jarumani kichaa!
Hahahaa haya bhana nami niko Anfield pale kwa Jerumani mbishi
 
Hii ni wazi wanaume wa Dar wanahela sana, manake itabidi wanywe hivo vi beer vingi ndio awe poa. Mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume wa Dar
 
tupeane pole mkuu maana jamaa ni kichaa mbishi!!

pitia kule kwenye jukwaa la LFC uone madongo makuu!
Sipendi mapresha ndo maana sitii timu kule...

Kuna mijamaa inaandika utafikiri imetumwa
 
Hii ni wazi wanaume wa Dar wanahela sana, manake itabidi wanywe hivo vi beer vingi ndio awe poa. Mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume wa Dar
Haaa haaa[emoji23] [emoji23]
 
uzuri ni kwamba hata izo bia ulizotaja hujawahi ninunulia so live your life
 
Vp kibo na eagle?
 
Hii ni wazi wanaume wa Dar wanahela sana, manake itabidi wanywe hivo vi beer vingi ndio awe poa. Mimi mwenyewe natamani ningekuwa mwanaume wa Dar
Hahahhahahah
 
Hivi bia yangu Sagari Lager aka Bunduki (ukiitumia vibaya itakuua) aka Mtikila (ukiitumia vibaya utaitukana mpaka serikali) bado ipo?

Enzi zetu watu wenye vichwa vyepesi walikuwa hawawezi kunywa Safari. Makaburu walivyonunua TBL wakaiongezea maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…