Wanaume wa Dar hamuyaogopi makaburi?

Wanaume wa Dar hamuyaogopi makaburi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Aisee! Huku mikoani hatuwezi kuweka kilinge juu ya makaburi eti tupige stori unaonekana kichaa ila huko Dar mna moyo kwa kweli mnalala makaburi, mnakaa mnavuta sigara makaburi wengine mpaka mapenzi refer Kinondoni, Makaburini.

Labda pia niseme kwenye majiji hata Arusha pale stand ndogo kuna masela wanalala makaburini usingizi mzuri kabisa na ndio bangi zinavutwa hapohapo, kwa kweli me siwezi michezo hiyo.
 
Bongo usipojichetua akiLi hutowweza kuishi yaan Luna mazngira ukiwepo inabd ubadilike tu
 
Kuna jamaa nilimtembelea ,amepanga nyumba,mbele ya nyumba uwanjani Kuna makaburi matano!anachukulia poa tu.nikamuuliza vipi huwa huogopi usiku???
Kikubwa ni Imani yako kwa Mungu .
The scripture says usiogope more than 50 times . Refer this
For God has not given us a spirit of fear, but of power and of love and of a sound mind.” ~ 2 Timothy 1:7
 
Aisee! Huku mikoani hatuwezi kuweka kilinge juu ya makaburi eti tupige stori unaonekana kichaa ila huko Dar mna moyo kwa kweli mnalala makaburi, mnakaa mnavuta sigara makaburi wengine mpaka mapenzi refer Kinondoni, Makaburini.

Labda pia niseme kwenye majiji hata Arusha pale stand ndogo kuna masela wanalala makaburini usingizi mzuri kabisa na ndio bangi zinavutwa hapohapo, kwa kweli me siwezi michezo hiyo.
We unazungumzia kuweka kilinge cha soga kitu ambacho hata wewe ukienda zika unafanya, Kuna makaburi ya kinondoni pale juu kabla ya kuzungushiwa ukuta, enzi hizo watu walikuwa wanakamata CD na kwenda mshikisha msalaba, wanaita kuendesha pikipiki.
 
Apo Kuna vitu viwili, 1.kuheshimu makabur, 2. Kuogopa makaburi..
Sasa tunachofanya watu wa mikoani ni kuogopa na kuheshimu sehem za makaburi lkn wenzet wao hawaheshimu maeneo hayo ingaw kun wengin wanaogopa tu bas,
ndio maan wanavuta bangi,kunywa pombe na kucheza kamari makabulin na hiyo husababishwa na wao kukosa maeneo ya maficho kwaiy makaburi hutumika Kam machimbo ya wahuni.
 
Kikubwa ni Imani yako kwa Mungu .
The scripture says usiogope more than 50 times . Refer this
For God has not given us a spirit of fear, but of power and of love and of a sound mind.” ~ 2 Timothy 1:7
So if He didn't then where did we get if from?
 
The universal trigger for fear is the threat of harm, real or imagined. This threat can be for our physical, emotional or psychological well-being. While there are certain things that trigger fear in most of us, we can learn to become afraid of nearly anything.
 
Aisee! Huku mikoani hatuwezi kuweka kilinge juu ya makaburi eti tupige stori unaonekana kichaa ila huko Dar mna moyo kwa kweli mnalala makaburi, mnakaa mnavuta sigara makaburi wengine mpaka mapenzi refer Kinondoni, Makaburini.

Labda pia niseme kwenye majiji hata Arusha pale stand ndogo kuna masela wanalala makaburini usingizi mzuri kabisa na ndio bangi zinavutwa hapohapo, kwa kweli me siwezi michezo hiyo.
We n mwanaume kweli....?
 
Wanaume wa Dar ndio wanaume gani tena?
 
Back
Top Bottom