ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Aisee! Huku mikoani hatuwezi kuweka kilinge juu ya makaburi eti tupige stori unaonekana kichaa ila huko Dar mna moyo kwa kweli mnalala makaburi, mnakaa mnavuta sigara makaburi wengine mpaka mapenzi refer Kinondoni, Makaburini.
Labda pia niseme kwenye majiji hata Arusha pale stand ndogo kuna masela wanalala makaburini usingizi mzuri kabisa na ndio bangi zinavutwa hapohapo, kwa kweli me siwezi michezo hiyo.
Labda pia niseme kwenye majiji hata Arusha pale stand ndogo kuna masela wanalala makaburini usingizi mzuri kabisa na ndio bangi zinavutwa hapohapo, kwa kweli me siwezi michezo hiyo.