Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
- Thread starter
-
- #141
Dah,we acha tu..mtu anapofuliwa mbele yenu na nyie mnashangaa tu..inauma sanaBado nawafikiria hawa vijana wa daslam
Hivi walishindwa kujiunga hata wampe mabeto ya kichwa?
Mnatia aibu kweli
Hivi uyu jamaa alikuwa anaigza Tu au Ni gay by nature..Mwanaume mwingine halisi wa dasalamu [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 413503
Hawana maana...Dah,we acha tu..mtu anapofuliwa mbele yenu na nyie mnashangaa tu..inauma sana
Me sio msukuma heheHahah Kisukuma icho.mbna kinaeleweka
teh teh 'Wow,twende hom bas tukatoe ng'ombe kadhaa' yanatafsirika hvMe sio msukuma hehe
Hehehehe,ao ndo vijana WA MakondaHawana maana...
Yaan,hata wanawake wauza soko la kilombero wanawashinda.
Kamusi ya Kisukuma hata ukiiona hutaijua wewe Msukuma wa Dar.Hahahah..iyoh lugha haipo kwny kamus ya ksukuma
Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.
Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone
Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.
Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.
Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.
Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..[/QUOTE.....
KARIBU ARUSHA. tupige ugari night na maziwa mgando sio kwenu DAR mnakula vyakula vilaini machalii wanapotea natuma picha ya chakula chao kuna hiyo inayoitwa urojo sijawahi iona kwa macho yani chalii wa dar ukimshitua kasepa.mapicha hayo ya misosi yao
Anha hahaha hata bila ng'ombe nakujateh teh 'Wow,twende hom bas tukatoe ng'ombe kadhaa' yanatafsirika hv
Jaribu kwa shangazi yako. Nasikia huko shamba wamama wanajifungua na bikra zao. Ushamba mzigo sana. Vipi bado mnapanda mikokoteni au matrekta yameshatia timu huko??Basi nipe dada ako mwny rinda OG
Kijana WA Makonda vp tena..sasa nisiijue kamusi ya kilugha changu?Kamusi ya Kisukuma hata ukiiona hutaijua wewe Msukuma wa Dar.
Sasa izo mimba zinaingiaje.Mi sijawai skia mkuu.Ila nimekaa Daslam nimeona hadi watoto WA dawaaah.Ndio maana Gwajima huwaita Watoto WA Dawa..au nawe Ni mtoto WA dawaaa (in gwajima voice)Jaribu kwa shangazi yako. Nasikia huko shamba wamama wanajifungua na bikra zao. Ushamba mzigo sana. Vipi bado mnapanda mikokoteni au matrekta yameshatia timu huko??
Kumbe we jamaa ni mwezi mchanga..Kijana WA Makonda vp tena..sasa nisiijue kamusi ya kilugha changu?
Daslam ulifika lini kwa mara ya mwisho??Sasa izo mimba zinaingiaje.Mi sijawai skia mkuu.Ila nimekaa Daslam nimeona hadi watoto WA dawaaah.Ndio maana Gwajima huwaita Watoto WA Dawa..au nawe Ni mtoto WA dawaaa (in gwajima voice)
Watoto wa Makondaukisema Wanaume wa dar unamaanisha wazaramo?
Ili iweje bwana mdogoDaslam ulifika lini kwa mara ya mwisho??
Huo uigizaji mkuu unatia mashaka sana na [emoji116] [emoji116] je?? Nae muigizaji!!Hivi uyu jamaa alikuwa anaigza Tu au Ni gay by nature..