Wanaume wa Dar mnatia hasira

Wanaume wa Dar mnatia hasira

Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.

Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone

Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.

Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.

Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.

Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..[/QUOTE.....




KARIBU ARUSHA. tupige ugari night na maziwa mgando sio kwenu DAR mnakula vyakula vilaini machalii wanapotea natuma picha ya chakula chao kuna hiyo inayoitwa urojo sijawahi iona kwa macho yani chalii wa dar ukimshitua kasepa.mapicha hayo ya misosi yao
9f2c30773c19999f521aaab6ec309277.jpg
f1913682bcd4535064020561a5b75808.jpg
bc82ddc3374885348eddee4f8798afbf.jpg
9055d43cffd81d80d21302ebb1232bb1.jpg
ecffb93b8c8e7f0c23867e9feef2b48b.jpg
9fdac69d48df5ed2d328a7c618d65f22.jpg
a09dbb81437cdde37a48d1610676e4ba.jpg
 
Basi nipe dada ako mwny rinda OG
Jaribu kwa shangazi yako. Nasikia huko shamba wamama wanajifungua na bikra zao. Ushamba mzigo sana. Vipi bado mnapanda mikokoteni au matrekta yameshatia timu huko??
 
Jaribu kwa shangazi yako. Nasikia huko shamba wamama wanajifungua na bikra zao. Ushamba mzigo sana. Vipi bado mnapanda mikokoteni au matrekta yameshatia timu huko??
Sasa izo mimba zinaingiaje.Mi sijawai skia mkuu.Ila nimekaa Daslam nimeona hadi watoto WA dawaaah.Ndio maana Gwajima huwaita Watoto WA Dawa..au nawe Ni mtoto WA dawaaa (in gwajima voice)
 
Sasa izo mimba zinaingiaje.Mi sijawai skia mkuu.Ila nimekaa Daslam nimeona hadi watoto WA dawaaah.Ndio maana Gwajima huwaita Watoto WA Dawa..au nawe Ni mtoto WA dawaaa (in gwajima voice)
Daslam ulifika lini kwa mara ya mwisho??
 
Yaani sielewi ni nini kimewapata wanaume wa dsm... tukio hatarishi linatokea ndo kwanza wanakushangaa
 
Kwan hao mashoga si wanakuja Dar kutafuta Soko maana kuna yule Kaoge Mjita nae kaja Dar kitafuta Soko
1475790332535.jpg
 
Back
Top Bottom