Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.
Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone
Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.
Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.
Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.
Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..[/QUOTE.....
KARIBU ARUSHA. tupige ugari night na maziwa mgando sio kwenu DAR mnakula vyakula vilaini machalii wanapotea natuma picha ya chakula chao kuna hiyo inayoitwa urojo sijawahi iona kwa macho yani chalii wa dar ukimshitua kasepa.mapicha hayo ya misosi yao