Wanaume wa Dar mnatia hasira

Wanaume wa Dar mnatia hasira

Inatia hasira sana mtu mmoja anakalisha mtaa yani kama movie za kihindi kwel dar viepe biti kibao
 
Yap! Tena mwalimu wa Karate anakuwa na nidhamu ya hali ya juu, huyo ni muhuni tu hata huo mchezo wenyewe hajapitia, naweza sema kaangalia zile Movie za jack chan ndo akawa anafanya majiribio, binafsi nimecheza Kombat,wakati naanza nilikuwa napenda ugomvi lakini jinsi nilivyokuwa nazoea nikawa naanza kuogopa ugomvi ikafikia kipindi mtu ananitukana mimi nacheka tu kwa kumdharau, lakini mwanzo mtu alikuwa akiongea vijimaneno kidogo tu namwambia, "tupigane basi". Lakini sasa hivi nimekuwa mmoja wa watu wastaarabu sana, ila USINIJARIBU
Ni kweli mi mwalimu wangu aliekuwa akinifundisha Taikondo alikuwa ananihimidha nidham na endapo kama angepata fununu kwamba ulifanya fujo basi anakuondoa hapo chuoni ni jamaa mmoja ambaye alikuwa katoka Australia
 

Attachments

  • 1475820910224.jpg
    1475820910224.jpg
    23.3 KB · Views: 40
Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.

Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone

Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.

Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.

Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.

Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..
Wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom