kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Sio daslam mkuu ni Dar es SalaaamNyie ci mmegeuza ulimi ndo dusheee,chini apafanyi kazi tena na ndio maana matangazo ya nguvu za kiume yamekuwa official daslam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio daslam mkuu ni Dar es SalaaamNyie ci mmegeuza ulimi ndo dusheee,chini apafanyi kazi tena na ndio maana matangazo ya nguvu za kiume yamekuwa official daslam
Mtoto WA Makonda utamjua tuSio daslam mkuu ni Dar es Salaaam
Hahahah.watu wanaroho ngumu Sana,sasa kwa sura hii huo ujasir WA kumpaka kilainishi sijui unatoka wap tuuKwan hao mashoga si wanakuja Dar kutafuta Soko maana kuna yule Kaoge Mjita nae kaja Dar kitafuta Soko View attachment 413604
Wanatoa na simu zao ili wakuchukue video vzuriYaani sielewi ni nini kimewapata wanaume wa dsm... tukio hatarishi linatokea ndo kwanza wanakushangaa
Hahaha James on FleekHuo uigizaji mkuu unatia mashaka sana na [emoji116] [emoji116] je?? Nae muigizaji!!
We kuna watu wana LaanaHahahah.watu wanaroho ngumu Sana,sasa kwa sura hii huo ujasir WA kumpaka kilainishi sijui unatoka wap tuu
Ni kweli mi mwalimu wangu aliekuwa akinifundisha Taikondo alikuwa ananihimidha nidham na endapo kama angepata fununu kwamba ulifanya fujo basi anakuondoa hapo chuoni ni jamaa mmoja ambaye alikuwa katoka AustraliaYap! Tena mwalimu wa Karate anakuwa na nidhamu ya hali ya juu, huyo ni muhuni tu hata huo mchezo wenyewe hajapitia, naweza sema kaangalia zile Movie za jack chan ndo akawa anafanya majiribio, binafsi nimecheza Kombat,wakati naanza nilikuwa napenda ugomvi lakini jinsi nilivyokuwa nazoea nikawa naanza kuogopa ugomvi ikafikia kipindi mtu ananitukana mimi nacheka tu kwa kumdharau, lakini mwanzo mtu alikuwa akiongea vijimaneno kidogo tu namwambia, "tupigane basi". Lakini sasa hivi nimekuwa mmoja wa watu wastaarabu sana, ila USINIJARIBU
Wao Ni maneno mengi na kunyoa vduku Rasta ndio walichobakizaInatia hasira sana mtu mmoja anakalisha mtaa yani kama movie za kihindi kwel dar viepe biti kibao
MIMI HUWASIJARIBIWI Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Hujaribiwi.....
Hata hili haliwezi kuwika kijijini mkuu!!Jogoo LA shamba haliwiki mjini....
hahahahaha watoto WA makondaHata hili haliwezi kuwika kijijini mkuu!!
hata kama watasaliti lakini kwa mwanaume mwengine wa dar na si wa MwanzaMuache sas kuwasaliti kwa ksngzio cha ulaini wao
Hahaha labda ww tu..hata kama watasaliti lakini kwa mwanaume mwengine wa dar na si wa Mwanza
Wanaume wa darAwa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.
Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et vikawakalisha.Mizee mizima ikachezeshwa ndomboloo ya soloo.Kule Shinyanga,Kishapu, Wishiteleja atunaga ujinga kabisa.Waje waone
Leo jamaa anatolewa macho ,tena mchana kweupe,hadharani.Nyie mnaangalia,eti kisa jamaa mtata.Aisee mnatia hasira.Ngoja Ndalichako anipe cheti changu mi nilud zangu bush kulima mpunga na michembe Tu.
Nimemkumbuka jamaa flani ivi mitaa ya duce pale,alipgwa mkono na kijana mmoja,ile kusimamisha ndinga vijana wakamvaa km4,wakamchana viwembe Sana,jamaa alilowa damu hadi huruma.Ajabu apakuwa na msaada popote,watu walitazama km movie yani.
Bda ya kutokea wahuni,ndo tukazima issue ile kwa kuwakamata baadhi na wengne kukimbia.
Ivi wanaume wa Dar,akznguliwa mbele ya mke/dem/mchumba wke,uwa wanafanyagaje.Au huchukua hatua gani..
Naona uko instagram wameshkiwa bango Leo..Wanaume wa dar
[emoji28] [emoji28]Naona uko instagram wameshkiwa bango Leo..