kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee
Msituchukulie poa aiseee