kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
Hahahaha wakat Chips huku kwetu ni mbogaNachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midpmo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kama nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ipi akukipitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimependa Uandishi wako. Chukua soda nitalipiaNachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midpmo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kama nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ipi akukipitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar
mi wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrrNachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midpmo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kama nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ipi akukipitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar
Endapo wanaume Wa Dar mtayafanyia kazi hata yalosemwa hapa ......hamtolalamika tena .Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midpmo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kama nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ipi akukipitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar
Mimi ni mwanaume wa Dar na sio wa mkoaniSidhani kama kweli muanzisha mada ni mwanaume wa Dar, ngoja wanaume wa Dar waje nitarejea
hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midpmo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kama nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ipi akukipitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheers to wanaume wa dar.mi wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheers to wanaume wa dar kuvaa ma sweater na joto linasoma nyuzi 30hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]
wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Wanaume wa dar wana mengi jamani..meeengiiii sana hayaishi wala kupungua. Waacheni tu jomoni.Endapo wanaume Wa Dar mtayafanyia kazi hata yalosemwa hapa ......hamtolalamika tena .