Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]

wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]

wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
avatar yako ni inversely proportional na mada yako! (avatar=1/mada)
 
mama chacha[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Daaah hakyanani nyie wa dar mnatisha mengine nilikuwa siyajui.
Hivi mnawezaje kuwasukuma wadada kisa kuwahi siti enyi wavulana wa dar??
Sie wa mikoani kukaa kwenye siti sio ishu kabisa hata dirishani unaninginia
 
Usichelewe nitaongeza ya pili huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ongeza tu ikibidi agizia Kreti zima.[emoji23][emoji23][emoji23] Si kwa uandishi huo, nitakutafuta aisee.
 
Wanaume wa dar wana mengi jamani..meeengiiii sana hayaishi wala kupungua. Waacheni tu jomoni.
Cheers to wanaume wa dar
Hakika nimengi sanaa nambaya zaidi hawajioni nahawako tayar kufanya mabadiliko. .ila nyie wadada wao pia muwasaidie ,muwe mnawachana laivu banaaa [emoji23] [emoji23] .
Mwanaume Wa Dar juice ya Muwa mpaka akamuliwe ,iweke kwa glass .,,, sasa balaaa nihiliiii....Chips wanalia Toothpick ,nasoda wanatumia mirija .wao wanaiita ustaarabu ukimgusa kiganja lainiiiiiiiii km mtoto mchanga.
 
Wanaume wa dar wana mashauzi sanaa! Yaani wanajikutaga warembo kinoma noma
 
hahahaaa yani ndo umeamua kuwaharibu kabisaaaaaa[emoji2]

wanaume wa dar..!!!! Endeleeni hvo hvo ndo maisha mliochagua.....kubeba begi kubwa siku nzima afu umeweka earphone tu[emoji13]

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewee
 
mi wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bajeti ya saloon mnagawana pasu kwa pasu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…