Wanaume wa Dar tumechoka kudharaulika!

Hivi mwanaume utakulaje chips yani MTU mzima unadiriki kula chipsi ahaaaa huku kwetu ni mboga tunalia ugali ukija zipo stendi kwa ajili ya wasafiri na watoto wachanga ndio wanaokula ILA wasafiri wenyewe wa dar alafu hawa mwanaume dar hivi wakila chips wanashiba au
 
Kwa hivo na mm nikitoka huku kwetu TABORA na kuenda dar na me nitakua mwanaume wa dar?
 
Wanaume wa dar mko lege lege sana hanwezi kuwafikisha madem zenu ndo maana wakijaga huku mkoani tukiwagonga kisawa sawa utasikia we mwanaume kiboko sijawahi ridhishwa na mwanaume yeyote. Ila we umenifikisha vizuri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Walahiii utakuwa na kimchepuko cha dar [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi na wale wanaolelewa na majimama ni kundi la wanaume wa dar ??
 
Jomoni jomoni, usiseme hivo. Gonga cheers kwanza.
Mi nawaelewa sana wanaume wa dar hamjui tu. Na mnavopenda juice za miwa zenye tangawizi na hiriki. Waache wanawaonea wivu wa mkoa wanakomaa na mafundo ya mua mpaka midomo ina chanika.
Cheers[emoji482]
Umenichekesha sana we dada kwenye huu uzi.Hivi mwanaume ili aitwe mwanaume wa dar anatakiwa akae muda gani.Manake najaribu kuimagine msukuma(kwa mfano)akikaa dar mwaka tu atakua na hizo tabia .
 
Mwanaume wa Dar akijiselifisha zake polepole!![emoji116]
 

Attachments

  • IMG_20171230_205056_626-1.JPG
    55.8 KB · Views: 15
Mnakutana na wachovuu,kuna siku mtu atakimbia huku kavaa kufuli lake kichwani
 
Wanaume wa Dar ratba zenu ndio zinanishangaza

asubuhi kijiweni
Mchana kwenye kubet
Jioni kwenye supu ya pweza
Usiku (saa 1-4) kuzurura kuangalia makahaba au vigodoro
Usiku wa saa 5 nk muda wa kurudi geto kulala

Kesho ratba itaendelea hapo kula ni kwa mama, hakuna kufanya kazi kuna vyumba vya wapangaji kwa wazee
 
Umenichekesha sana we dada kwenye huu uzi.Hivi mwanaume ili aitwe mwanaume wa dar anatakiwa akae muda gani.Manake najaribu kuimagine msukuma(kwa mfano)akikaa dar mwaka tu atakua na hizo tabia .
Basi na yeye aki adopt anajiita wa daslama. Sio kama sisi ndio huwaita,hapana ni wao wenyewe...utasikia kwetu dar,naishi dar full bata. Ukimuuliza kazi yakw ni kubet,pen na karatasi kila kona.Hatari hatari
 
Walahiii utakuwa na kimchepuko cha dar [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawapenda tu qenyewe wana kamsemo kao nakapendaga hako "jomoni".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: Lee
Wanaume wa dar acha tu kaka angu,hawachelewi ukitoka nae geto anakupa elfu 10 mkifika mbele anakuambia babe lipa basi,unatoa kale ka elfu 10 unalipia sahani mbili ya chakula chao pendwa "chips mayai" elfu tano ngwaaaaa inaenda anaagiza na soda etu babe we usinunue,hii pepsi nitapata free soda,akifungua holaaaa anakuta DARE FOR MORE...pespi nao wana waangushaga wanaume wa dar jomoni. Haya hapo utasikia babw chukua na wewe basi. Unajikuta umebakiwa na elfu 4 tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] then mnagpnga selfie zenu za kibab hapo,then unaambiwa babe hebu nipe huku kwanza nijiunge bundle nipost picha. Elfu 2 kwendraaaaaaaaaa. Unabakiwa na elfu 2 unapanda zako boda boda unalipia buku unabaki na buku,akikutumia sms hujibu akipiga ukasema huna salio anakuambia si umebakiwa na ela,nunua babe jiunge tuchat.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar hamfai kwa chumvi wala sukari,kwa kulumangira wala mchuzi
 
Reactions: Lee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Juzi nilipokuja Dar, nikapita sehem nikaagiza chakula eti nikaambiwa kuna chips kuku...[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
Nilichukia sana na nikaamua nirudi mkoani siku iliofuata bila kula....[emoji37] [emoji37]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…