abdallah chongono
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 351
- 196
Hivi mwanaume utakulaje chips yani MTU mzima unadiriki kula chipsi ahaaaa huku kwetu ni mboga tunalia ugali ukija zipo stendi kwa ajili ya wasafiri na watoto wachanga ndio wanaokula ILA wasafiri wenyewe wa dar alafu hawa mwanaume dar hivi wakila chips wanashiba au