Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee๐Ÿ’”

Umeongea vizuri sana. Hiyo akili ndio huwa naitumia.
 
Kwakweli siwez hata kudanganya kwenye hili..
Ninayempenda ni mmoja kwa sasa simcheat lakn kipindi hicho nilikuwa nikikutana na mdada mrembo mrembo najibebisha siku mbili tatu akiingia kwny line namtoa out akishaingia kwny mtanange wa kukaa sehem ya kutulia analiwa na nikishapita ndo hisia zinanirudia kuwa nimemsaliti ninayempenda kwa hyo hapa inakuwa biashara imeshaisha
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee[emoji174] Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi [emoji36][emoji119]

 
I understand vyote ulivyoongea ni kweli na inakuwaje kwa mtu ambae mmekutana restaurant tu tena huenda ukawa huna hata mpango nae nae ulienda kwa mambo Yako ya kula na kuondoka? Hapo imekaaje?
Hapo ni uanaume sasa. Wanaume tumeumbiwa kutongoza na kuchakata. Ndio maana mwanaume anaweza kukutana na wewe njiani akakuambia dada nimekupenda. Ukimkataa haitachukua hata lisaa keshakusahau anatongoza mwingine.

Kwa mazingira hayo ni wewe kukubali au kutaa ambapo vyote havina effect ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ