Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

mazungumzo yetu na the way unavyo behave naweza ku conclude kua hapa ni penyewe au hakuna kitu hapa.
The same applied to any professional or any career unajua kuwa kinachoenda kutokea kabla hata hakijatokea. Yaani Ile instinctually nadhani. Hata mfanyabiashara anajua kuwa biashara hii inalipa, Ina faida ama Hakuna kitu hata nikikukomaa miaka kumi
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee[emoji174] Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi [emoji36][emoji119]
Once a woman starts saying

"A real man is this..."

"A real man does this..."

"You are not a real man."

Just avoid her. Run.

A real man avoids such a woman.

#BetterTogether
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Nyie ndio wale vishoia mnakuwaga wasumbufu kutoa kitumbua huku mkiwa hamna mbele wala nyuma 😏

Alafu mnapenda kuombaomba hela nyie acha tu.

Acha niendelee na vibonge wangu wasio na makuu 😊
 
Yessiiiiir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…