Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔 Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi 😤🙌
Usijifanye haupendi kugongwa on first meeting, mnapenda sana tena meeting zikiwa zinarushwa rushwa mnachukia sana nina experience hio nakwambia ukweli
 
Week?? Mbona muda mrefu sana wengine tunakutama na pisi kwa mara ya kwanza na siku hiohio analiwa.
N that's how it's Ila anaangalia na mt*mbaji mwenyewe km umemvutia kwanini usimt*mbe on that first date?
 
This is the game of timing. Ulichokisema ni sawa kabisa and the vice-versa is true. Hata wanawake imagine mmekutana hata wiki haijaisha anaanza kukuomba hela. Boys kuweni makini.

In short ukiona mwanaume amekutongoza halafu akakuomba game any time soon, ujue kuna udhaifu kwako kauona au hicho ndio kilichomfanya akutongoze.

Kitu msichojua wanawake kuhusu sisi vidume ni kwamba, ninaweza kukutongoza kwa nia nzuri kabisa. Ila mazungumzo yetu na the way unavyo behave naweza ku conclude kua hapa ni penyewe au hakuna kitu hapa.

Sasa itokee niwe na conclusion nzuri ila nikiona hapa hakuna kitu huwa hatuwaambii wala hatuwapotezei ila tunataka walau tuchape ndio tukuache uende.

So be careful unapotongozwa. Kuombwa ngono inawezekana ni matokeo ya ulivyo jiweka. Nimekutongoza leo kesho kutwa unaomba pesa. Wewe unaweza kufikiri unanitega uone kama nitaweza kukuhudumia ila tafsiri yetu huwa ni tofauti kabisa. Kitakachofua nitakupa pesa unayoitaka ila huku nikiweka mazingira ya kupata game as soon as possible.

Win win situation
Kumbe 🤐
 
Nasikia jumamosi iliyopita uliamua kuoa mkuu.Hongera sana
nimeoa kitambo sana, na huyu ndiyo mke wangu mbona
M200.jpg
 
Back
Top Bottom