Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee๐Ÿ’”

Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee๐Ÿ’”

Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee๐Ÿ’” Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi ๐Ÿ˜ค๐Ÿ™Œ
Bora huyo wa week mimi masaa 17 tu usipokubali natupa huko

Natafuta mwingine. Ma Feminist wamejazana kila kona kwann ni attach my strings to you

๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ
 
Wanawake ni tofauti na wanaume jamani sisi tunatoa penzi kwa mtu ambae tuna mfeel
Najua hilo sijakataaa kabisa

Lakini hit and run tunafanya kwa tamaa zetu wenyewe

Also nikipata ashki natongoza hata mademu 8 kwa siku lzm mmoja aingie kingi namla siku hiyo hiyo nasepa

Mind you wake za watu ndo mserereko ๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„ kama baharini vile ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee[emoji174] Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi [emoji36][emoji119]
This is the game of timing. Ulichokisema ni sawa kabisa and the vice-versa is true. Hata wanawake imagine mmekutana hata wiki haijaisha anaanza kukuomba hela. Boys kuweni makini.

In short ukiona mwanaume amekutongoza halafu akakuomba game any time soon, ujue kuna udhaifu kwako kauona au hicho ndio kilichomfanya akutongoze.

Kitu msichojua wanawake kuhusu sisi vidume ni kwamba, ninaweza kukutongoza kwa nia nzuri kabisa. Ila mazungumzo yetu na the way unavyo behave naweza ku conclude kua hapa ni penyewe au hakuna kitu hapa.

Sasa itokee niwe na conclusion nzuri ila nikiona hapa hakuna kitu huwa hatuwaambii wala hatuwapotezei ila tunataka walau tuchape ndio tukuache uende.

So be careful unapotongozwa. Kuombwa ngono inawezekana ni matokeo ya ulivyo jiweka. Nimekutongoza leo kesho kutwa unaomba pesa. Wewe unaweza kufikiri unanitega uone kama nitaweza kukuhudumia ila tafsiri yetu huwa ni tofauti kabisa. Kitakachofua nitakupa pesa unayoitaka ila huku nikiweka mazingira ya kupata game as soon as possible.

Win win situation
 
Najua hilo sijakataaa kabisa

Lakini hit and run tunafanya kwa tamaa zetu wenyewe

Also nikipata ashki natongoza hata mademu 8 kwa siku lzm mmoja aingie kingi namla siku hiyo hiyo nasepa

Mind you wake za watu ndo mserereko ๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„๐Ÿ„ kama baharini vile ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Damn! Unakuta mtu analeta yale mambo ya awwww una kashape kazuri, Eti nimekuota leo (wet dreams)๐Ÿ˜ค๐Ÿ’” na hamjazoeana
 
Back
Top Bottom