Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Wanawake wa ajabu sana. Atakua na wanaume kama wanne ivi.

1. Anahudumia na penzi hapewi
2. Anahudumia penzi anapewa kwa mgawo
3. Hahudumii chochote na anapewa penzi full time, hapa ndipo mwanamke anajimwaga hata tigo atatoa. Yaan badman, hapa hata vipigo hutembezewa.
4. Ahadi ya ndoa. Huyu anafanana na no 1 isipokua yeye kapewa ahadi ya ndoa. Hapa ndo wanajifanya watakatifu wanaheshimiana hawataki kuvunja utaratibu wa mapenzi kabla ya ndoa.
Iv wakuu habari ya tigo kwa wanawake ndio mmeshahalalisha kabsa au?
 
Hizo feelings zinatengenezwa ndani ya siku mbili tu? Ukumbuke kuwa wanawake tunajenga upendo taratibu na ndio hapo tunaanza kupata feelings ... Tofauti na wanaume ambao wao huwa wanaongozwa na tamaa

Ila feelings za kuomba pesa huwa zinakuja fasta. Na zenyewe zingekua zinakuja taratibu kama Upendo Basi hapo tungeenda sawa
 
Jamani ifike mahala wanaume na nyinyi mjue kutofautisha kati ya wadangaji na wanawake wengine
Kama vile msivyoweza kutofautisha mwanaume mwenye utulivu na yule aliyemsumbufu, actually mkasema wanaume wote mbwa basi imefika hatua huwezi kutofautisha mwanamke mtulivu na mdangaji kwakuwa vitendo, mavazi, mienendo na mawazo yenu hayatofautiani, ni yaleyale. Samaki mmoja akioza wote wameoza.
 
Vijana wameamua liwalo na liwe, wanamwaga mboga sasa. Halafu kula watakula hoteli.
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee[emoji174] Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi [emoji36][emoji119]
Wanatuchukulia wote n wanawake wa kuchezea wakidhan Kwa sababu ya shida zetu basi watatupelekesha wanavyotaka, asikupelekeahe huyo kama hujamkubali achana nae sio kila mtu n cheap km wanavyodhani.
 
Kuna dem nishapiga after 6 weeks. Ana mizinga mpaka unajiuliza huyu maisha yake yalikuwaje before me. Tupa kule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] analeta list ya shida Hadi unishiwa nguvu...
 
Wanatuchukulia wote n wanawake wa kuchezea wakidhan Kwa sababu ya shida zetu basi watatupelekesha wanavyotaka, asikupelekeahe huyo kama hujamkubali achana nae sio kila mtu n cheap km wanavyodhani.
Fanyeni Kazi mjitume mtaheshimika pangeni nyumba jilipieni Kodi ,na bill zenu na usafri wenu tofauti na hapo mtatombwa sana maana hiki kizazi Cha leo kinamweshimu mtu ambaye haombi chochote kutoka kwa yoyote and nothing else Kama sio njaa hata bikra mgekuwa nazo Hadi leo
 
😂😂😂 aah wapi ka shape kapo bwanaa wanasaikolojia tushajua!

Anyway cheers mkuu, kaa mbali na kiumbe kinaitwa mzabzab ..huu ushauri natoa kwa kila memba wa kike 😁
Wala wasiniogope. Sina baya mie sana sana nitatongkza baada ya hapo nikishambulia kibuti tutaishia kupiga story tuu humu jf kama navyofanya na kina Kelsea mawardat Darlin Demi
 
Back
Top Bottom