Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Week mbona ndefu sana
Ndani ya dakika kazaa mnakutana na anatuma sera ya ulaji wa tunda...sijui wanakuwa wanelogwa kwamba mda wote yeye ana hamu tuu?
Sasa kumkimbiza huyo mletee invoice japo ya laki 5...hutamuona hapo.
Mwanaume anayejitambua hawezi kuomba K ndani ya dakika kadhaa , masaa , siku kadhaa au week...lazima awe na ustaarabu
Kabisa ndio maana nakupenda
 
Yaani nimeachana nae siku hiyo hiyo alipoanza kuleta mada zake za kutaka tunda mpaka leo hajapiga simu
Wanatuchukulia wote n wanawake wa kuchezea wakidhan Kwa sababu ya shida zetu basi watatupelekesha wanavyotaka, asikupelekeahe huyo kama hujamkubali achana nae sio kila mtu n cheap km wanavyodhani.
 
Kama vile msivyoweza kutofautisha mwanaume mwenye utulivu na yule aliyemsumbufu, actually mkasema wanaume wote mbwa basi imefika hatua huwezi kutofautisha mwanamke mtulivu na mdangaji kwakuwa vitendo, mavazi, mienendo na mawazo yenu hayatofautiani, ni yaleyale. Samaki mmoja akioza wote wameoza.
Basi mambo ni vice versa kumbe
 
Kwani watu wanatoa wapi nguvu za kuvuliana chupi na hawaja oana
kuoana sio njia la asili mkuu hyo ni man made , kucross asili ni jambo linaloshangaza na kuhuzunisha mno .
 
Yaah ila atleast wawe wanasubiri Hata Kidogo yaani unakuta mtu siku ya kwanza ametongoza anataka jibu hapo hapo na kesho mkutane mmalizane ... Kuna wengine hawapo kwaajili ya kufanya biashara ya ngono jamani .. mimi nilivyomkwepa huyo jamaa imagine mpaka leo hajanitafuta kwasababu hakupata kile alichokuwa anataka kea wakati ule na pengine ningeenda Hata kuchukua magonjwa huko jamani maana Hata muda wa kupima usingekuwepo
umeongea kwa hisia sana 😂
 
sii tumekubaliana wanaume waombe mbusus wanawake waombe hela. hakuna kupotezeana muda bwana.
wanasema eti hawakupi mpaka wakufeel..... sasa usubirie mpaka wakufeel genye unapeleka wapi😂 mwanaume ukitaka sex inadidi ufuate process ndefu ila kwa mwanamke ni rahisi tu... duh
 
wanasema eti hawakupi mpaka wakufeel..... sasa usubirie mpaka wakufeel genye unapeleka wapi😂 mwanaume ukitaka sex inadidi ufuate process ndefu ila kwa mwanamke ni rahisi tu... duh
Wakufeel wapi bwana wewe hawa wenyewe wanasema wakiona zile noti mbususu ilowa yenyewe wee ni kuteleza tuu
 
NYUKI [emoji219][emoji219][emoji219] HAKUMBATIWI EEE!
img_2_1685460956506.jpg
 
Back
Top Bottom