Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
- Thread starter
- #221
Kabisa ndio maana nakupendaWeek mbona ndefu sana
Ndani ya dakika kazaa mnakutana na anatuma sera ya ulaji wa tunda...sijui wanakuwa wanelogwa kwamba mda wote yeye ana hamu tuu?
Sasa kumkimbiza huyo mletee invoice japo ya laki 5...hutamuona hapo.
Mwanaume anayejitambua hawezi kuomba K ndani ya dakika kadhaa , masaa , siku kadhaa au week...lazima awe na ustaarabu