monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Hahahahahahaaaa,usiwaze sana hyo ni subjectivity ila ukiisoma vbaya thread unaona kama kuna some elements of objectivity,ila hongera pia!Ndio mtazam wangu kwan kuna collabo ya id hapoooo
Una lipsi nzuri mama Njoo tukutane Pale Mirembe(PM) nikuambie kitu .Deal done[emoji1] [emoji1] [emoji1] !!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pm kweli napata maana kila kukicha lazima niwatumie maombi moderator hata kama ya kipuuzi ila pm uwe active tu. Kubet nimemaliza mtaji ila bado napigana na kubet[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mrs Jr wachuuze tu wenzio wabague nazi wainukie koroma, kwa taarifa yako mi naifahamu mishefa ya maana kama mi3 hivi huko jukwaa la Celebrity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mmoja anashughulika na ule utajiri wa ardhini, mwingine buloga wa maana tu, mwingine.............. Mmoja kati ya hao ni best angu sana!
Wengine jeiefu wamekuja kufurahi tu sio kuwa siriazi.
Ila mamdogo sio vizuri huo ushauri wako sasa wengine jukwaa la siasa wakajiokotee lumumba buku 7 au makamanda uchwara? Mungu anakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule kwa Paulo Makonda.(PM)Pm ndo wapi ?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.
Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?
Thread zako ni za aina gani?
Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?
Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.
Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.
Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.
-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .
Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.
Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
Hahaha sisapoti upuuzi mimi mkuuWewe kwani hupendi kuwasapoti wenzio kwa Makonda?
Anhaa ndo wanakodai mimba ?!Kule kwa Paulo Makonda.(PM)
Ndio mkuu.Anhaa ndo wanakodai mimba ?!
Watu wanajilia vitu vyao kiulaiiiini baada ya kuumiza vichwa kwenye majukwaa ya maana.Unabaki unambebishaaa tu hakuna namna
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ushachelewa mda sanaaaaUna lipsi nzuri mama Njoo tukutane Pale Mirembe(PM) nikuambie kitu .
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hili jina lina Element za kukataliwa litaniongezea mkosi tu.Jiite Jacksoni Pombe Magufuli