Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Sidhani kama kuna ukweli hapa, mbona kapo zote zinazojinadi humu ndio zinashinda kwny haya majukwaa ma3 uliyotaja chitchat na mmu?

Labda uniambie hz ni kapo kwa ajili ya maonyesho tu na kusogezeana siku
 
Pm kweli napata maana kila kukicha lazima niwatumie maombi moderator hata kama ya kipuuzi ila pm uwe active tu. Kubet nimemaliza mtaji ila bado napigana na kubet[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mrs Jr wachuuze tu wenzio wabague nazi wainukie koroma, kwa taarifa yako mi naifahamu mishefa ya maana kama mi3 hivi huko jukwaa la Celebrity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mmoja anashughulika na ule utajiri wa ardhini, mwingine buloga wa maana tu, mwingine.............. Mmoja kati ya hao ni best angu sana!

Wengine jeiefu wamekuja kufurahi tu sio kuwa siriazi.

Ila mamdogo sio vizuri huo ushauri wako sasa wengine jukwaa la siasa wakajiokotee lumumba buku 7 au makamanda uchwara? Mungu anakuona ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.

Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.

Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.

Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?

Thread zako ni za aina gani?

Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?

Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.

Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.

Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.

-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .

Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.

Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe mwanamke ni kiboko, yaan nimecheka kwa nguvu kama punguwani
 
Hivi Kuna watu wanakuja jf kutafuta mademu duh [emoji23][emoji23][emoji23] hao ni chini ya miaka 25 ndo bado wananguvu za kusumbuana na wanawake WA mitandaoni. Mi huwa nakuja kutoa stress kupitia comment
 
Back
Top Bottom