Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Kweli kabisaaa!wapo walokua vzr humu MMU haswaaa
 
Khaaaaaaa hebu ngoja nikaufukue vizur[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Looh kumbe ulikuwa unavituko sanaaa
Nimejisalimisha mapemaaaa
 
Bikra yangu ya Pm sijui itatoka lini... hamna msamaria mwema (mdada) wa kuitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…