Hawa hapaaaaNilikuwa sijui aisee...
Sema jukwaa la magari mnaweza kupotezwa na mafundi huko mkajua wamiliki magari
Upo sahihi kabisa mdogo angu[emoji3]Dada naomba utie neno kidogo au nakosea mdogo wako
You've made my night...!Afu mje kupanga foleni kwa RC na vilio juu.
Kumbe yote yalitokana na ka PM kamoko tu.
Tukimbiane hivyo hivyo tuu [emoji19][emoji19]Asante kushukuru rafiki..
Aiseee...
Hahaha...Halipoooo kwa kweli
Rafiki angu... mimi nipo sana humu siku hizi. Wewe sijakuona muda sana, hata espy na HS wake sijawaona.Tukimbiane hivyo hivyo tuu [emoji19][emoji19]
Itabidi tuombe kwa Mods lianzishwe maanaAiseee...
Hatari sana...
Jukwa la bodaboda lipo humu?
Mimi nipo lakini hata sielewi kwanini hatuonani jamaniRafiki angu... mimi nipo sana humu siku hizi. Wewe sijakuona muda sana, hata espy na HS wake sijawaona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna ambae hajacheka kwa huu uzi either alikuwa kwa makonda leo au alitumbuliwa cheti fake..Mimi nipo lakini hata sielewi kwanini hatuonani jamani
Hs nilimuona juzi lakini espy sijui kapatwa na nini nae maana sio kawaida.
Mefurahi kukuona kwenye huu uzi, maana nimejikuta nacheka sana aiseeh. Tufurahi tuu jamani maisha yenyewe mafupi haya. Ila huyu tyale ni kiboko [emoji119].
Demiss
Nafurah sana paleee unapoenjoy mambo kama hayaaaaMimi nipo lakini hata sielewi kwanini hatuonani jamani
Hs nilimuona juzi lakini espy sijui kapatwa na nini nae maana sio kawaida.
Mefurahi kukuona kwenye huu uzi, maana nimejikuta nacheka sana aiseeh. Tufurahi tuu jamani maisha yenyewe mafupi haya. Ila huyu tyale ni kiboko [emoji119].
Demiss
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna ambae hajacheka kwa huu uzi either alikuwa kwa makonda leo au alitumbuliwa cheti fake..
nimefurahi kukuona pia maa....
Missed you too Sissynimekumiss sana
Yeah. And black is black.uzuri wako hucheweshagi.., afu white is white..., smarter
Mkuu nimeku-PM tafadhali
haya ndo maeneo ya kwenda PM sasa..., let me jipanga [emoji23]Yeah. And black is black.
No shades of grey.