Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Hahaha...

Sawa bwana ..

Siku nikipata Pm wala sijawah kuchangia chochote kwenye jukwaa la magari ntarudi mahala hapa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sawa utanitag hiyo sku
 
Rafiki angu... mimi nipo sana humu siku hizi. Wewe sijakuona muda sana, hata espy na HS wake sijawaona.
Mimi nipo lakini hata sielewi kwanini hatuonani jamani

Hs nilimuona juzi lakini espy sijui kapatwa na nini nae maana sio kawaida.

Mefurahi kukuona kwenye huu uzi, maana nimejikuta nacheka sana aiseeh. Tufurahi tuu jamani maisha yenyewe mafupi haya. Ila huyu tyale ni kiboko [emoji119].
Demiss
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna ambae hajacheka kwa huu uzi either alikuwa kwa makonda leo au alitumbuliwa cheti fake..
nimefurahi kukuona pia maa....
 
Nafurah sana paleee unapoenjoy mambo kama hayaaaa

Tucheke kuongeza sku za kuishi hakuna namnaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna ambae hajacheka kwa huu uzi either alikuwa kwa makonda leo au alitumbuliwa cheti fake..
nimefurahi kukuona pia maa....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Uzi nimeanzisha lakin nashangaaa mwenyewe nakaukaa kuchekaaaa
 
Back
Top Bottom