Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #601
Hawa hapaaaaNilikuwa sijui aisee...
Sema jukwaa la magari mnaweza kupotezwa na mafundi huko mkajua wamiliki magari
Wanaume (Mayahaya) mnaobadilisha magari kwa week matano mnafanya kazi Gereji au Car wash?