Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Heheh hio ya kuchimbua sisi wa technology kule tumefunga profile zetu kuwa viewed.... Cjui utatuchimbuaje
 
Kwenye thread tegemea hayo.
 
Hacker wewe unaweza dukua account yangu ya jf uanza kufurahia mitongozo
Aaahahah wee sio kwa pm hizo zitakav kua mingi had ntarudisha tuu account yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unapigaaa helaaa tu kwan faida ya hacker ni nn?
ahaha hapo saw aseeh heheh naanza kupiga mizinga.. utasikia watu wanakufungulia uzi Demiss anapiga mizinga ukimfata PM maana JF hawajambo kwa kufungulia watu nyuzi haha
 
ahaha hapo saw aseeh heheh naanza kupiga mizinga.. utasikia watu wanakufungulia uzi Demiss anapiga mizinga ukimfata PM maana JF hawajambo kwa kufungulia watu nyuzi haha
Hawajambooo shikamoooo
 
Sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…