Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chungulia tu....Ngoja nikachungulie profile yakooo
[emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye thread tegemea hayo.Aiseee kwan watu wote wanaoenda PM wanatongozaaa ndo maana nimeshangaaa ametumia nguvu nyingi kujibu na kuweka mambo ambayo hayana maana
Yawezekana huyu enzi zakee anasomaa alikuwa anatoka nje ya swali .
Watu kama hawa wanajifanya wanajua mambo zaidi kumbe ni upopoma usiokuwa na faidaaaa.
Ukijiuliza hapo kwenye uzi wangu wapi nimeandika kwamba kumfata mwanaume pm ni kutongozana hakuna lakin yeye kaja na maana yake moja tu ya umalayaa .
Nikimuiita Popomaaa nazan jina litakuwa limemfaaa sanaaa.
Aaahahah wee sio kwa pm hizo zitakav kua mingi had ntarudisha tuu account yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hacker wewe unaweza dukua account yangu ya jf uanza kufurahia mitongozo
ahaha hapo saw aseeh heheh naanza kupiga mizinga.. utasikia watu wanakufungulia uzi Demiss anapiga mizinga ukimfata PM maana JF hawajambo kwa kufungulia watu nyuzi hahaUnapigaaa helaaa tu kwan faida ya hacker ni nn?
[emoji1] [emoji1] [emoji8] [emoji8] [emoji7]Mme wangu yupo.majukwaaa magumu kule.anakujaga kunifata mke wakeee tu
Nyie watu wa riwaya mnapendwaa sna
Sawa tu.Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.
Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.
Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.
Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?
Thread zako ni za aina gani?
Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?
Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.
Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.
Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.
-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .
Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.
Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.