Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Ila sisi wanaume kwa kupretend tunaweza sana,,naweza kukuigizia maisha ya ki uk uk unaamini mpka uje kushtuka ni too late......ila haya maigizo yanahitaji pesa za kutosha pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona unatudharau sasa ss mafundi ujenzi we Demiss![emoji20][emoji20][emoji20][emoji19][emoji19][emoji19][emoji34][emoji34][emoji34]
Fani inatuweka mjini...
Akianza kupost kwamba Nahitaji nondo na mabati kwa ajili y ujenzi wa mansion langu

Oooh mbn atapata pm fasta
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nipe sababu kwann?

Sasa hatufahamiani hizo speed unaenda wapi? Kitu gani unakihitaji kwa kasi hiyo hata jasho halijakauka umeshatuma hadi whatsapp, nikikujibu kitakachofuata si kuomba picha?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikutumia picha
Achia picha face2 Face mtu anatembea na walinzi eti niende kumpa elimu ya mahusiano si majaribu hayaaaa

Kuingia tu getini unakaguliwa na ulinzi.mkali mambo gni hayo.
 
Achia picha face2 Face mtu anatembea na walinzi eti niende kumpa elimu ya mahusiano si majaribu hayaaaa

Kuingia tu getini unakaguliwa na ulinzi.mkali mambo gni hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo uliingia au ulitoka
 
Ni hiyo tuuu ndo nimewai
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]acha kabisaa mwanamke aangalie bongo movie na wewe

Pendelea zile movie ngumu ngumu kama vile
Rambo

Mambo ya mieleka

Agent 47 hitman

Mambo ya mipiraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…