Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Hao kundi la mwisho mie huwa nilidhani ni watu wanaokujua wanakuibukia na ID kongwe!!

Mie huwa sina maslahi huko, nilikuwa nawajibu wote tuu ilimradi hawana madhara!
Tatizo huwez kumkuta kashiriki popoteee na wengi wao namba zao huanzia na +245.......
 
Back
Top Bottom