Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Wanaume wa JamiiForums ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?

Sms zinakuwa hivi

1:05
Mambo valentine

2:40
Habari yako mrembo

4:00
Mbona kimyaaa mamy

6:9
Nijibu basi nina shida na wewe

8:09
Nitext whastap +45456888

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji23][emoji23] wee Demiss wewee
 
Sms zinakuwa hivi

1:05
Mambo valentine

2:40
Habari yako mrembo

4:00
Mbona kimyaaa mamy

6:9
Nijibu basi nina shida na wewe

8:09
Nitext whastap +45456888

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hiyo hata mie sikujibu. Ntapita tu pembeni. Sijisumbui hata kufukua uzi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii Account ya dharura account yangu kuu yenye magari ina Ban ya Muda mrefu sana.

Mjini kila mmoja ana gari.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimekutekenyaaa upele umeamua kujikuna haya kwann ulikula ban ya muda mrefu

Tuanzie hapo kwanzaaa
 
Ndo maana nikasema walikuwa wananipa wakat mgumu sana nilijaribu kucheza biko nikakutana na mmoja akiiiii sikuamini macho yanguuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikutumia picha
 
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf.

Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo.

Sasa niwaambie siri wanaume ambayo hamjui.

Yani ukimtumia tu mwanamke PM hakujibu mpaka aende kuangalia unashiriki ktk majukwaa gani?

Thread zako ni za aina gani?

Comment zako anafukua fukua makaburi kwanza?

Akishapata jibu ndio anarud PM kukujibu.

Hawa ndo wanaume wanaojibiwa haraka PM zao
Wale waliopo Great thinkers
-Jukwaa la siasa
-Jamii inteligance
-Habari na Hoja mchanganyiko
-Jukwaa la magari(No 1)
-Jukwaa la Madaktari
-Biashara na ujasiriamali
-Kilimo na mifugo
-Biashara na matangazo
Kifupi kwenye yale majukwaa magumu magumu.

Hawa wafuatao huwa wanafungiwa sana vioo PM kutokana na kushiriki kwenye haya majukwaaa.

-Chitchat
-MMU
-Celebrity[emoji16][emoji16][emoji16]

Hata mimi Demiss nilikuwa na hiyo tabiaa kabla sijaolewaa ukinitumia PM sikujibu mpaka nikafukue makaburi yako ya threads na comment zakoo nioneee .

Kile unachoandika ndiyo kipo kwenye akili yakooo .
Siwez kumjibu mwanaume anayeandika comment anaweka emoj[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] lazima nikukaushiee tu.

Kundi la mwisho hawa wanaume walinipa wakati mgumu sana mtu yupo Jf toka mwaka 2014 lakini hajawahi kuanzisha uzi kucomment wala kulike ila anakuja PM na yupo online masaa yoteeee.
dah, kumbe hahahaha,,,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kufukua makabur hakujawahi kumuacha mtu salamaaa
 
Back
Top Bottom