Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Poleeee sna ndugu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yani giah wanaokuja nayo inakeraaa ndo maana wanafungiwa vioooUnaweza kuvumilia hata salamu tu, cha ajabu atakukera mwanzoni tu, tatizo tabia zao zinakuwa zakikekike ivi, ila wewe uko vizuri muntua
Mbona nishajibuNijibu PM yangu kwanza
Hakuna anayenifahamu humu, wengine tunaishi kama digidigiMh! Hapo ndio naanza kujua IQ yangu ina mushkel, kumbe kuna kipindi mnatuepusha na mengi sie vilaza sema tunajitakia kujiaibisha tu.
Sijakufahamu uzuri
Hujawahi kumuona huko eeh?Ha ha haaaa,,,, aiseee JF raha sana.
Huyu @kichwakichafu mtu poa sana uzi wake pendwa ule wa likes baaaasi! Huko kwenye kubeti unamsingizia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe chukua kabur lakooo hili hapa ukiacha kupenda hivi utapata pmKm jamaa fulani anajiita putin jamaa ni lichoko lile na magazeti yake na emoji zake za kishambenga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tile ka mpana muntu uyandika mambo ma kisunguuu wani waze kupm yakooo
Kutakile antu na atete msimamo kana ushemeji wako Mshana
[emoji23][emoji23]kwisha habari yakoHapo sasa ndio shida ilipo, yaani mgumu afake? Wewe ukuje tu posta mpya bana, hiyo habari ya majukwaa ni mbwembwe tu! [emoji1][emoji1]
Hivi hajarudi ile vacation ya pasaka atupe mrejesho??Hao ndo kundi l mwisho anapatikana mtumishi wa mambembe
Hakuna anayenifahamu humu, wengine tunaishi kama digidigi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe chukua kabur lakooo hili hapa ukiacha kupenda hivi utapata pm
Umbo lipi linavutia kwa kumtizama kati ya mwenye hips kubwa au tako kubwa!!!
[emoji23][emoji23]kwisha habari yako
Ngoja niende ziwani saizi,badae[emoji112][emoji112][emoji112]
Sam kasema niende kwa pombe magu anitafsirie ndo naenda hiviSema nikutafsirieee shooo