Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Cha ajabu kila mtu atalaani hiyo tabia lakini na yeye ni mtumaji mzuri wa picha.
Tena anatoa PM anapeleka wassaaap
Achana na picha zile za kujibu mapigo.
Kuna watu wana album za watu.
Naomba picha ya mtu basi nisuuze macho
 
Ukiona manyoya[emoji13][emoji14]
 
Kwendraaaa uko na utakatifu wako thread ungeifungia pm kwako huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…