Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Ah! Binamu bhana, sio kila mwenye kikojoleo kinachoning'inia ni mwanaume. Mungu ametoa bila hiyana vikojoleo vinavyoning'inia kwa makundi yafuatayo:
1. Wanaume
2. Wavulana
3. Vivulana!

Unafanya kosa kubwa sana unapotuchanganya Wanaume pamoja na vivulana na hata wavulana!! Hao unaowazungumzia ni vivulana, and of course, wengine ni wavulana!

NOTE: Sometimes hata mtu mwenye rika la Le Mutuz anaweza ku-behave kama kivulana huku mwenye rika la Dogo Janja aki-behave like a real man!
 
Shikamoo chige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…