Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Mbona mie sijawah kuonana live na mrembo humu JF? Wadada wa humu wananipita mbali sana..pia sijawah fungi was pm na yoyote[emoji847]
 
Mwanamke anayejiheshmu hawezi fanya ujinga kutuma picha kwa mtu wa jf kisa nini sasa

Mim sitongozagi wanawake kupitia mtandaoni, labda itokee bahat mbya.
 

Usijali, hawatarudia kuku - PM, wameelewa!
 
Falacy of generalization
Hayo yoteculoyasema ni kwa upande wako. Kwa hiyo usidhani sababu zinazokufanya ww ufunge pm yako ndo hizo hizo zinazowafanya wengine wafunge pm zao.
 
Aroooo shunie usinitukane mwenzio nmezisambaza ili kuudhihirishia umma wa jf kwamba wewe ni mutoto muzuri beyond what they do think abt u.
 
Shunie punguza jazba
 
Eeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] poleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…