Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
habari njema hiiYesu akirudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari njema hiiYesu akirudi
Nawe hueleweki! Hivi mtu anatafuta k lazima awe anamjua mwenzake? Si unajua wanaume ni risk taker
Mnalalamika sana humu majukwaani kua tunafunga PM au mkija hatuwajibu,ndiyo wengine wamefunga PM wengine mkija hatuwajibu kwa sababu kuu zifuatazo;
Kabla ya kutoa sababu mods huku ni chitchat bwanaa...!!punguzen ban jamani kaah!hapa stori tu no matusi tafadhali;
Haya naendelea;
Hatuwajibu kwa sababu tunaogopa huko PM mwahifadhi meseji zetu ili mje kutuchape Nazi baadae tukigombana ukiona hvyo twajifunza kulingana na makosa.Japo si wote lakini wenye tabia hizoo za hayo mambo.
Tunaogopa wengine mnakishawajua watu mnaanza kuonyeshana picha kwa wengine wa humu jf tena wauliza eti Fulani wamjua akijibu simjui anakuonyesha mapicha ya yule mtu kaahh!mambo gani ya kiswazi kunijua sio sababu ya kuonyesha picha zangu kwa watuu!not fair
Wengine sasa mna tabia mbaya mmekutana,mmekaa,mmekula,mmekunywa n.k baadae anaanza kuwataarifu wa humu jf Jana nlikutana na Fulani na Fulani bila kuulizwa kaah![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] !!!hebu nyie wanaume wenye hizo mambo punguzeni
Wengine mmekaa mmekutan mnaaanza kudiscass memba wa humu then baadae mmoja wenu anakuja kuwageuka anampigia simu mwenyewe kuumpa taarifa kua mlimuongelea!!
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hatari kabisaa
Kwa mambo hayo nani atake kufungua PM au kuwajibu kirahisi.
Naendelea wengine humu sijui ndo watafiti anataka kila mdada na mkaka maarufu wa jf amjue jamaniii!!!halafu je!? Ugraduate au Uqualify nini labda...Mungu anawaona...!!
Kwa hayo machache hapana wale niliobahatika kuchat nao PM ahsante sana nna msiobahtika hapana,naogopaaaaaaaa....kusemwa wengine tuna sura za baba!tupo tupo tu hatuna hata wowowo mtu kama behaviourist akituona lazima amtafute shunie ampe habari zangu kua I'm wowowoless!!!suraless basi tafrani hapa najibodoa kumbe msura wangu kwenye camera halijai kumbe najulikana humu najichoreshaa tuu!!
Nyie wanaume nyie haya bwanaa!!![emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nasema hivi mkiendelea hivi Mtakosa wachuchu humu shauri zenu!!
Hapo ndo ninapokupendea dada Shunie... hivi watu hawafahamu kwamba PM ni kama chumbani!! Sasa how come tena ya chumbani wayaleta varandani... shida sana pahala pakijaa tusichana na tuvulana!!!Sitakusemea kaka chige ya pm yanaishia pm mm mtu mzima
Hapa sio pakuzungumza hayo masuala kuna mengine ni ya siri.Mbona unapenda pm sana
Niache ujinga na wewe acha unafikiAcha ujinga sio kila mtu anawaza hizo k zako
Kunapoogopeka ndipo fursa zimejaaSio JF mzee, uku ni kubaya zaidi.
Aroooo shunie usinitukane mwenzio nmezisambaza ili kuudhihirishia umma wa jf kwamba wewe ni mutoto muzuri beyond what they do think abt u.Hapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Shunie punguza jazbaHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] poleeeeEeeh Mungu nisaidie nisi comment kwenye huu uzi .
Ila ngoja kwanza .
Mimi nikiona mtu kani pm siku hizi nakemea kabisa.