Uwiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.
Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.
Usijibane mkwe[emoji23] [emoji23] hongera zao!!Mimi hapana jamani!!
Mkweee!!!
Mwambie hizo picha apeleke itv
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kaah!!endelea kuzihifadhi hvyo hvyoo!!!Mm nawataarifu kuwa nina picha nyingi za jf tena folder maalum kuna siku nikitaka kukumbuka watu humu huwa naenda kuangalia...kuna watu wanapiga picha wamelala kwny majani kama wametoka sitimbi jana.
Nani huyooo!!!jamani shunie
Hili suala linacost wengi sana.Haaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili chaka kubwa wanawake wa humu wanababaika kwa post tamu za watu ila uhalisia wa mtu na maarifa itachukua century kuujua hapo ndio tatizo lillipo yakishatokea wanakuja kulalamika humu.heshima ni ngumu kuitambua kwa maandiko
Aliyepiga picha kwenye majani[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ameweka ishara ya vidole viwili Juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una mpaka folder maalum Nokia kiboko kwahiyo ukimkumbuka mtu unaenda kumchungulia msalimie huyo aliyepiga picha kwenye majani
Kuna watu wanaonaga kumjua mwanamke wa jf ni big deal sana.sisi ni watu wa kawaida tu.hata tukipigwa miti ni kawaida tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
Wapo etii. Sema sio ajabu. Mwenyewe nikivutiwa na mwandiko wako nakufuata kwani sh ngapi?
Ninazo picha za mtu kapiga akiwa kwao mahenge kavaa gagulo refu zaidi ya sketi ila anavyotuponda humu kama sio yeye...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu mjibu pm zake jamani toka jana anaongea habari za pm
Amsalimie jamaniAliyepiga picha kwenye majani[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ameweka ishara ya vidole viwili Juu