Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Usinifanyie hivyo na mi Team Hamisa kama wewe[emoji23] [emoji2]Akuu
Hahaaa!endeleeni kuona waropokaji ndo wahuni halafu wapole ndo watakatifu tuu!mngejuaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinifanyie hivyo na mi Team Hamisa kama wewe[emoji23] [emoji2]Akuu
Hahaaa!endeleeni kuona waropokaji ndo wahuni halafu wapole ndo watakatifu tuu!mngejuaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akuu
Hahaaa!endeleeni kuona waropokaji ndo wahuni halafu wapole ndo watakatifu tuu!mngejuaaa
duuuuh kunani tena ''?Aisee! Kumbe cheusi naye ana double dose ya stress teh teh! Kaazi kweli kweli!
Umalaya mbaya sana.
kikaa nchale! kisimama nchale!Stori ndefu fupi.
Nani anatembea na ulemavu wa kutofunuliwa mpaka leo na hajawatafuta hearly, Wick, msafwa93 au Ambiele Kiviele kwa ajili ya tiba?
Na nani anaachia sana?
Nijibie pm tafadhali.
Nakuja PM unitajieNaondoka kwny huu uzi kwa amani baada ya kumjua mtuhumiwa
Wacha weeee.nimepata toto la kitanga basi limenifungia ndani" nguo zangu zote kaziloweka kwenye maji
Kwanini?Inferior ina wasumbua wanawake wa JF
Vyuma jamani vyumaaaa. Tusiposhinda huku tunaweza pata uchiziwengi wana stress hasa hawa wanaoshinda jf na kufungua nyuzi kila saa
Nimekuelewa kaka.Kwanza kabisa, namuomba radhi Raynavero
Wakati naandika nilisoma comments za wadada/wahuni ambazo zililenga kuudhi kiasi kwamba nilipoteza kumbukumbu na kumjumuisha Raynavero kama mmoja wao.
Imenibidi nisome tena alichoandika kama kuna sehemu alikusudia kufanya hivyo, sikuona.
Andiko langu lililenga wadada waliokomenti huko kabla yangu, kwa lugha waliyo itumia na kujieleza wanaonesha ni jinsi gani walivyo, hivyo wanacho kipata ni haki yao.
Unakanyaga matope huku unakimbia ukitegemea kutokurukia?
Mimi huwa kawaida sikopeshi, haijalishi itakuuma vipi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hey ray,
Kwanza nilitaka kuja huko PM, lkn nilivyokumbuka unapata tabu sana na pm za wanaume imenibidi niandike hapahapa.
Na kwakua nili comment mbele ya hadhara hii, basi ni muhimu pia niandikacho hapa kionekane mbele ya hadhara.
Pili, napenda kuomba radhi kwa comment yangu, nilikujumuisha pasipo kukusudia nikijua uliyo eleza yanafanana na wahuni walio comments mbeleni.
Katika majibu ya wahuni hao walionesha dharau, matusi na kejeli kwa wanaume wenye tabia ambazo wewe hujapendezwa nazo.
Mimi sioni tatizo la wao kuwadharau, tatizo naliona kwao.
Wewe unampaje mtu mawasiliano yako hujazijua tabia zake? Tabia za mtu humu JF kwa kusoma comments zake tu waweza mjua huyu ni wa aina gani though not 100%.
Kwahiyo kama umepata tatizo na tatizo umelisababisha wewe, ni vema ukakubali wewe ni tatizo kwanza.
Tatu, mimi sina chuki na yeyote humu. Kwasababu siichukulii JF serious sana. Ndio maana naweza tibuana na mtu leo lkn kesho tukabonga freshi tu. Na sijui ni wapi nilionesha chuki kwako, km ilitokea si kwamba ni chuki bali ni sehemu ya mijadala tu. Kujenga chuki na nisiye mfahamu, mtu asiyekuwa na impact kwangu ni kujilundikia stress ambazo zitakuwa tatizo kwangu.
Mimi navyo koment mpk siku tukwaruzane ndo naweza kukukariri,lkn km haijawaahi tokea hivyo ninaweza kujibu au koment kwenye mada ya mtu na nisikumbuke alieileta mada ni nani. Najenga chuki na umasikini sio memba wa JF.
Mwisho namalizia kwamba, hapa JF hata mtu akikutukana na umeudhika kweli, we mpe like afu sepa. Kama huna kifua cha kuvumilia, mweke kwenye ignore list afu uwe una mpotezea. Kama ni muungwana zaidi mtafite pm umweleze kiungwana hujapenda hivyo. Mtakuwa marafiki sana.Do not take JF serious, kuna watu wa kila aina humu
Yote ya yote, niwie radhi!!
(Ila una mkwara? Sijawahi mjibu mtu kwa unyenyekevu hivi)
Kazi njema.
Umeamua kuvujisha siri.nimepata toto la kitanga basi limenifungia ndani" nguo zangu zote kaziloweka kwenye maji
NakaziaHumu wadada wanajifanya marafiki sn wakat wao ndio wanachafuana ile mbaya
Nani huyo chief? Kwenye uzi wa hazard cfc kule JLW utakuta koment yangu nijibie kuleNaondoka kwny huu uzi kwa amani baada ya kumjua mtuhumiwa