Hha
Hhaahaaaaa!!kaka usijali Mimi sina kinyongo yameisha one luv!
Hii mada hajanikuta ila yamewakuta wengine so nimeleta mawazo ya watu!Sina kinyongo na wewe na wala mwingine yoyote!
Maisha yaendeleee kaka!
Nami niwie radhi kama nimekuoffend sehemu yoyote au nimetumia lugha kali pia!
Sina haja ya kukuweka ignore list kwa sababu hujawahi hata nitukana wala kunisonta kivile.Yaweza kua mawazo yangu tu ndo yalikua mabaya so am sorry pia kwa hilo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina mikwara bwanaa!maisha yaendelee!!!